Search This Blog

Thursday, 12 January 2017

Wababa haki za likizo ya uzazi.

62.-(1) Mtumishi wa umma ambae mkewe amejifungua, ataruhusika kupewa likizo ya malipo kwa muda wa siku tano za kazi ikiwa:- (a) Likizo hilo litachukuliwa ndani ya siku saba baada ya mtoto kuzaliwa na halitoathiri likizo yake ya mwaka; (b) Likizo hilo litatolewa kila baada ya miaka mitatu. (c) Taarifa ya kustahili likizo iwasilishwe kwa Mkuu wake wa kazi na iambatanishwe na kitambulisho cha kuzaliwa kwa mtoto kitakachotolewa hospitali, Sheha au Kiongozi wa Mtaa au Kijiji. (2) Bila ya kuathiri kanuni ndogo (1)(b) ya kanuni hii, mtumishi wa umma mwenye mke zaidi ya mmoja atastahiki

No comments:

Post a Comment