Maana ya biashara:- Ni shughuli yeyote inayofanywa kwa lengo la kupata faida(vigezo, faida, halali)
Maana ya ujasiriamali:- Ni mchakato wa kutambua fursa, kuzitumia na kuanzisha shughuli za kijamii, za kiuchumi na Taifa.
Hatua za ujasiriamali:
(a) Ugunduzi
(b) Ubunifu na wazo la biashara
(c) Kuwa na mpango wa biashara
(d) Utekelezaji
(e) Tathmini.
(a) Ugunduzi
(b) Ubunifu na wazo la biashara
(c) Kuwa na mpango wa biashara
(d) Utekelezaji
(e) Tathmini.
SIFA ZA MFANYABIASHARA:
(1) Kufuatilia mwenendo wa bei
(2) Kutambua ugavi na utashi pia hujua ni kiasi gani kinahitajika na kuzalishwa.
(3) Kuwa na uhakika wa huduma kwa mteja, hutoa bei nzuri kwa mteja na kujaribu kuwasaidia wazalishaji wake.
(4) Hukusanya taarifa za mwenendo wa wateja
(5) Hupokea haraka mrejesho na ufanisi
(6) Husukumwa na mafanikio na anakuwa msaada hata katika mazingira mapya
(7) Huuza na kununua wakati wote.

MAMBO YA KUZINGATIA:
i) Kutambua wateja
ii) Kutambua vizuri ukubwa wa eneo ambalo wateja wanapatikana
iii) Kufahamu mahitaji ya wateja
iv) Kufahamu wauzaji waliopo
ii) Kutambua vizuri ukubwa wa eneo ambalo wateja wanapatikana
iii) Kufahamu mahitaji ya wateja
iv) Kufahamu wauzaji waliopo
NAMNA YA KUTAMBUA WATEJA:
• Akina nani
• Wanafanya nini
• Wananunua wakati gani
• Wanategemea nini
• Wanafikiria nini kuhusu washindani wako
• Wanatarajia kupata huduma gani kutoka kwako
• Wanafanya nini
• Wananunua wakati gani
• Wanategemea nini
• Wanafikiria nini kuhusu washindani wako
• Wanatarajia kupata huduma gani kutoka kwako
UWEZO WA KUSIMAMIA BIASHARA:
Kupanga gharama za biashara (COSTING)
Kukokotoa kiasi cha fedha ulicho tumia katika kununua bidhaa katika biashara yako
Kukokotoa kiasi cha fedha ulicho tumia katika kununua bidhaa katika biashara yako
AINA ZA GHARAMA:
Gharama za moja kwa moja
Gharama zisizo za moja kwa moja
Gharama zisizo za moja kwa moja
MANUFAA YA KUFAHAMU GHARAMA ZA BIASHARA:
Kupanga bei
Kufahamu kama unapata faida au hasara
Kufahamu vitu vinavyo kugharimu sana katika uendeshaji wa biashara yako
Kufahamu kama unapata faida au hasara
Kufahamu vitu vinavyo kugharimu sana katika uendeshaji wa biashara yako
MASOKO:
o Ni wateja au wanunuzi wa bidhaa zako
o Ni shughuli zote zinazo fanyika katika kuongeza mauzo
o Ni jinsi ya kuwaridhisha wateja na kutengeneza faida kwa kuwaletea bidhaa au huduma wanayo hitaji.
o Ni shughuli zote zinazo fanyika katika kuongeza mauzo
o Ni jinsi ya kuwaridhisha wateja na kutengeneza faida kwa kuwaletea bidhaa au huduma wanayo hitaji.
KUONGEZA MAUZO:
Bidhaa
Bei
Banda/duka/eneo la kufanyia biashara
Bango
Bei
Banda/duka/eneo la kufanyia biashara
Bango
KUMJALI MTEJA:
Hamasa
Kubali kukataliwa na mteja katika mchakato wa kuuza
Mhudumie mteja kwa wakati
Kuwa mpole na mkarimu
Kuwa mvumilivu
Toa msaada na huduma bila malipo wakati wote
Kuwa mnadhifu wakati wote
Kubali kukataliwa na mteja katika mchakato wa kuuza
Mhudumie mteja kwa wakati
Kuwa mpole na mkarimu
Kuwa mvumilivu
Toa msaada na huduma bila malipo wakati wote
Kuwa mnadhifu wakati wote
MAKATAZO:
Usibishane na wateja
Usiwachangane wateja na bidhaa nyingi kwa wakati mmoja
Usimlazimishe mteja kununua kitu asichokitaka
Usikate tama
Usinywe ,usile wala kuvuta wakati wa kumhudumia mteja.
Usiwachangane wateja na bidhaa nyingi kwa wakati mmoja
Usimlazimishe mteja kununua kitu asichokitaka
Usikate tama
Usinywe ,usile wala kuvuta wakati wa kumhudumia mteja.
No comments:
Post a Comment