BEI: ni gharama ya mwisho ya bidhaa yako baada ya kuongeza faida, kile ambacho unahitaji walipe kwa ajili ya bidhaa au huduma.
Kupanga bei:-
Namna unavyotaka, kiasi gani wateja walipe ili wanunue bidhaa yako.
Namna unavyo amua kuhusu bei ambayo unawatoza wateja kwa ajili ya kununua/kulipia huduma.
UTAJUAJE KWAMBA UPANGAJI WAKO WA BEI SI MZURI:
1) BEI ZINAWEZA KUWA JUU SANA
a: huwezi kufikia malengo ya mauzo
b: unapoteza oda nyingi
c: mauzo kuwa chini kuliko washindani wako
d:malalamiko mengi kutoka kwa wateja
b: unapoteza oda nyingi
c: mauzo kuwa chini kuliko washindani wako
d:malalamiko mengi kutoka kwa wateja
2) BEI ZINAWEZA KUWA CHINI SANA
i) wanao agiza bidhaa kuwa wengi
ii) una upungufu wa bidhaa
iii) mauzo ni mazuri lakini faida unayopata ni ndogo
ii) una upungufu wa bidhaa
iii) mauzo ni mazuri lakini faida unayopata ni ndogo
NJIA ZITUMIKAZO KUPANGA BEI:
1) ULINGANIFU:
Katika njia hii, unalinganisha bei zako na za washindani wako.
kutengemeana na ubora na gharama za uzalishaji/manunuzi.
Bei inaweza kuwa chini au ikafanana na ya washindani wako.
kutengemeana na ubora na gharama za uzalishaji/manunuzi.
Bei inaweza kuwa chini au ikafanana na ya washindani wako.
2) SOKO KULIPA:
Hutegemea dhana ya uhitaji na uwezo wa wateja kulipa.
Bidhaa endapo haipatikani bei huwa kubwa.
Bidhaa zikiwa nyingi bei hushuka
Bidhaa endapo haipatikani bei huwa kubwa.
Bidhaa zikiwa nyingi bei hushuka
Tanbihi: usishushe bei ya bidhaa zako(utapata hasara).
No comments:
Post a Comment