Search This Blog
Sunday, 22 January 2017
Majaliwa: Serikali imeshalipa madeni ya Sh29 bilioni
By Mwandishi Wetu, Mwananchi
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imelipa jumla ya Sh29 bilioni kwa watumishi mbalimbali wa umma wakiwemo walimu ikiwa ni sehemu ya madeni yao.
Majaliwa amesema hayo wakati wa uzinduzi wa vyumba vitatu vya kisasa vya madarasa katika shule ya sekondari Iwawa iliyoko wilayani Makete.
Waziri Mkuu amesema Serikali imedhamiria kumaliza madeni ya watumishi hao, ambapo hadi kufikia Novemba mwaka jana kiasi hicho cha fedha kililipwa kwa watumishi 31,000.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment