Search This Blog

Saturday, 7 January 2017

Umuhimu wa kupata usingizi wa kutosha

Health Magazine wanaeleza faida za kulala kwa muda unaopaswa

Husaidia kuongeza kumbukumbu
Huongeza ubunifu
Huongeza usikivu
Husaidia kupunguza uzito
Husaidia kupunguza msongo wa mawazo
Nilale kwa muda gani?

Kwa mujibu wa Help guide, mtu mzima (18+) anapaswa kulala kuanzia masaa saba mpaka tisa.
http://mkabesa.com/wp-content/uploads/2015/04/

No comments:

Post a Comment