Maji hurutubisha ngozi
Maji husaidia kupunguza uzito
Maji husaidia kutibu na ni kinga dhidi ya magonjwa
Unywe maji kiasi gani?
Kunywa lita moja na nusu ambayo ni sawa na glasi tano hadi sita kwa mara moja. Zoezi hili linaweza kuwa gumu kwa wale wanaoanza. Basi kama unaanza kunywa taratibu glasi moja kisha pumzika kisha nyingine mpaka pale mwili utakapozoea.
Unywe maji kiasi gani ili kutibu magonjwa?
Kunywa glasi 4 za maji kabla hujapiga mswaki
Kisha piga mswaki
Baada ya dakika 45 ndiyo upate kifungua kinywa.
No comments:
Post a Comment