Search This Blog

Saturday, 7 January 2017

Jinsi Unavyotakiwa Kula, Afya Yako

Kwa Mujibu wa WHO hivi ndivyo chakula chako cha siku kinatakiwa kuwa.

1.Nafaka kamili.Mfano Dona
2.Mbogamboga na matunda
3.Protini
4.Mafuta pamoja na sukari.

Huu ni mfano mojawapo picha jinsi tunavyo takiwa kula kila siku.
 http://2.bp.blogspot.com/-zb072AdQTvI/UULcELfSotI/AAAAAAAAE9k/mlmSMRjoGSY/s400/


 Lakini binadamu wa siku hizi tumebadilisha kabisa mfumo wa kula ndiyo maana tunakumbwa na marazi mbalimbali kama presha,kisukari.kansa,magonjwa ya moyo na mengineyo mengi yanayo sababishwa na ulaji mbovu.

Mfumo ambao tunakula siku hizi binadamu ni huu hapa:

1.Mafuta na sukari kwa wingi
2.Protini.
3.Mbogamboga na matunda
4.Nafaka kamili.
5.Mazoezi.

Mazoezi ni jambo la muhimu sana kwa afya ya mwanadamu lakini binadamu wa siku hizi tunapuuzia sana swala zima la mazoezi ndiyo maana hatuishiwi na magonjwa ya mara kwa mara.

No comments:

Post a Comment