Search This Blog

Friday, 6 January 2017

WANANCHI WALIOVAMIA ENEO LA KITUO CHA AFYA KATORO KUVUNJIWA NYUMBA ZAO BAADA YA SIKU SABA


Mkuu wa wilaya ya Geita Herman Kapufi akitoa maagizo kwa wananchi ambao wamevamia katika eneo la kituo cha afya kupisha ndani ya siku saba kabla ya kuondolewa kwangu.Wananchi wakimsikiliza kwa makini mkuu wa wilaya wakati alipokuwa anatoa maagizo ya kuachia maeneo hayo kwaajili ya ujenzi wa chumba ya kuhifadhia maiti.

Mkuu wa wilaya ya Geita Herman Kapufi akikagua maeneo ambayo yamevamiwa na wananchi baada ya kutoa maagizo.
Mganga mfawidhi wa kituo cha afya cha katoro Peter Janga akitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya namna ambavyo ujenzi unatakiwa kufanyika kwenye kituo hicho.
 

No comments:

Post a Comment