Search This Blog

Sunday, 15 January 2017

MUNGU WA WAISLAMU NA MUNGU WA WAKRISTO NI MMOJA AU NI WAWILI TOFAUTI?

Salamu ndugu zangu katika jina la Yesu kristo.
leo niko hapa kusema na wewe kuhusu mungu wetu na mungu wa waislamu kama ni mmoja yule yule au ni wawili tofauti. yamekuwepo maneno ya wanasiasa katika kutafuta namna ya kuiunganisha jamii kisiasa wakiwadanganya kwamba Mungu wa wakristo na Mungu wa waislamu ni mmoja! na wanasema hivi si kwa sababu hawajuwi ila wanakwepa kuwepo kwa mpasuko wa kidini bayana ya jamii wanayoiongoza. nataka nikuambie ukweli kwamba wanasiasa hawana muda wa kutaka kuwaunganisha watu na Mungu kwanza wengi wao wanaamini kwamba hakuna Mungu, kwa sababu wanasiasa wako chini ya philosophy hawako chini ya theology. kwa sababu imani ya philosophy ni kwamba hakuna Mungu, bali imani ya Theology ni kwamba kuna Mungu. nimekuja kugundua kwamba imani ya philosopy ni imani ya kipumbavu, kwa sababu biblia inasema katika Zaburi:53 mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu. lakini hebu tuachane na hayo ngoja turudi kwenye mada yetu, wanasiasa wanafanya hivi kwa manufaa ya kisiasa lakini si kwamba husema hivyo kumuwakilisha Mungu.
Lakini ukweli uko wapi? Hivi nikweli kwamba Mungu wetu ni mmoja? Jibu ni hapana, kwanini jibu liwe hapana? kwasababu hizi:-
kwanza qruani inajua kabisa kwamba mungu wake si mungu aliyeumba mbingu na nchi! kwasababu hii ndiyo maan hakuna aya hata moja ndani ya qruani ambayo mungu wa qruani anasema kwamba “mimi ndiye niliyeziumba mbingu na nchi” bali utakutana na aya ikisema “mwenyezi Mungu aliziumba mbingu na nchi”
Pia ujulikane kwamba kila kitu hutambulika kwa majina yake. hata wanadamu hutambulika kwa majina ndipo mtu utapata kuelewa kwamba anayekusudiwa ni fulani. Mungu wa biblia anaitwa Niko ambaye niko, Yehova, Bwana wa Majeshi, Alfa na Omega. Lakini mungu wa qruani jina lake ni Allah, sasa hoja inakuja hapa ili sasa mimi Moses nikubali kwamba mungu wa waislam na Mungu wetu ni mmoja, ni andiko gani katika Biblia linalosema kwamba  Mungu jina lake ni Allah? pia ni aya  gani ndani ya qruani inayokubali kwamba mungu jina lake ni Yehova?
Lakini katika kufanya utafiti nimegundua kwamba Allah si Mungu wa kweli bali ni Shetani kwamujibu wa qruani surat muhamad aya ya 15. inasema hivi “mfano wa pepo aliyowaandalia waja wake mwenyezi Mungu iko hivi, ndani yake kuna mito ya maziwa na mito ya ulevi wenye ladha kwa wanywaji.humo watapata kuburudishwa kwa matunda ya kila namna na samahani kutoka kwa mola wao.” lakini ukisoma qruani hiyo hiyo sura ya 5 aya ya 90, inasema hivi: “Enyi mlioamini bila shaka ulevi na kamari na kuombwa yeyote asiyekuwa mwenyezi Mungu ni uchafu na ni kazi ya shetani.” sasa rafiki yangu kwa mujbu wa aya hizi hebu fikiria sasa aya ya kwanza imesema Allah katika pepo yake kuna mito ya ulevi, lakini qruani hiyo hiyo imesema ulevi ni kazi ya shetani, kama aya zenyewe ndizo hizi hoja yangu inakuja hapa: Yeye Allah kama siye shetani amepata wapi ulevi hali yakuwa ulevi ni wa shetani? lakini Biblia imesemaje kuhusu ulevi: walevi na wachawi na wazinzi hawataurithi ufalme wa mbinguni. Mungu anasema katika isaya Ole wao waamkao asubuhi na kufuata ulevi. mpendwa kuwa macho hizi ni nyakati mbaya za mpinga kristo.
wiki ijayo nitaweka hapa somo la mpinga kristo naomba usilikose, ni somo zuri linafundisha jinsi ya kumjua mpinga kristo na mpinga kristo ni yupi? kwa kifupi ni kwamba mpinga kristo sio mwanadamu kama watu wengi wanavyodai, pia  elewa kama mpinga kristo yupo duniani anafanya kazi kwa kiwango cha juu sana hivi sasa. naomba usikose tafadhali kusoma somo hili.
imeandaliwa na: Mwinjilisti Moses Mayila
email: mosesmayila@yahoo.com
mobile: 0715961270
0755961270

No comments:

Post a Comment