Search This Blog

Tuesday, 1 August 2017

SIKU YA KUPATA MIMBA NA SABABU ZA KUTOPATA

SIKU YA KUPATA MIMBA NA SABABU ZA KUTOPATA

Siku ya hatari/kupata mimba ni ipi?

Jibu kwa kifupi;

Kwanza unatakiwa ujue mzunguko wako wa hedhi ni wa siku ngapi. 

Unatakiwa kuhesabu kuanzia siku uliyoingia hedhi ya mwezi huu hadi siku 1 kabla ya kuanza hedhi ya mwezi unaofuata, hapo ndo utajua mzunguko wako ni wa siku ngapi. 

Mfano mwezi huu umeingia hedhi tarehe 20 na mwezi unaofuata ukaingia tarehe 17. Ukihesabu kuanzia tarehe 20 yenyewe hadi hiyo 16 ya mwezi unaofuata ni siku 28. Tarehe 17 huihesabu kwa kuwa utakuwa umeanza hedhi ya mwezi mwingine.

Siku ya hatari chukua idadi ya siku za mzunguko wako kisha toa 14.
Mfano kama mzunguko wako ni siku 28 toa 14 utapata 14. Siku ya hatari ni siku ya 14. Hapa unaweza kuanza kushiriki tendo kuanzia siku ya 12 kwani mbegu za kiume huweza kuishi kwa siku hadi 3. 

Kama mzunguko ni siku 29 toa 14 unapata siku ya 15 ndo ya hatari. Shiriki tendo kuanzia siku ya 13. 

Kuna vitu vinaweza kukufanya usipate ujauzito kwa urahisi, mfano ni mzunguko mbovu wa hedhi, unaweza kuwa mzunguko wako mara uwe wa siku 25 mara 30 au wengine zaidi ya 30.
Pia hizo siku za hatari zinaambatana na ute wa uzazi, kama hupati ute basi hilo nalo ni tatizo.
Kingine ni mbegu za mwanaume kuwa dhaifu yaani pengine ni nyepesi sana. Mbegu kama hizi siyo rahisi kutungisha mimba kwani haziwezi kulifikia yai la mwanamke kwa urahisi.
Kikwazo kingine ni wapenzi/wanandoa kushiriki tendo pasipo utulivu, unakuta mtu ana stress zake kichwani na ugomvi kibao kisha anashiriki tendo wakati akili yake ipo mbali. Hii nayo huathiri kiasi fulani upatikanaji wa mimba hivyo ni vizuri wapenzi kuwa katika mood nzuri ya tendo.

Hivyo ukiwa na hivyo vikwazo hakikisha unavirekebisha kwanza ndipo uanze kumsaka mtoto. Wanawake wengi wanakwamishwa na tatizo la hedhi mbovu. 
Unaweza kuwasiliana nasi kwa ushauri au tiba hizo.

Pia wanaume ambao wanajua wanayo mapungufu katika tendo au pengine unahisi una kibamia nao suluhisho lao tunalo wanaweza kulipata kwa kuwasiliana nasi.
Hata kama upo mikoa ya mbali unaweza pata huduma kwani tunao utaratibu mzuri wa kutuma dawa.

No comments:

Post a Comment